Tunakwenda kuangalia Mambo 10 ambayo unaweza kuyafanya na CHATGPT. Moja ya mambo hayo, inaweza kuandika wimbo. Kwenye episode hii tunakwenda kutazama ikitunga wimbo kuhusu Diamond Platinumz
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James